Monday, 2 December 2019

Mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma bw. Luis Bura amemuagizi mkandarasi anayetekeleza miradi ya maji katika kata za Mkabuye na Mabamba kuhakikisha amekamilisha miradi hiyo ndani ya siku 11 baada ya miradi hiyo kushindwa kukamilika kwa muda mwafaka

No comments:

Post a Comment